HOT NEWS..Auawa papo hapo kwa kuchomwa kisu

 
 Kijana huyo ambaye jina halijafahamika akiwa amefariki baada ya Kuchomwa kisu na mwenzake kisa madai ya Tsh 5000 tuu
Tukio tulilopokea muda mchache uliopita mtu mmoja ambaye jina lake halijafahamika amemuua mwenzake kisa walikuwa wanaiana Shilingi Elfu tano...

 
Mamia ya watu wakiwa wanashuhudia tukio hilo.

Tunaendelea kufuatilia tukio zaidi .. endekea kufuatilia hapa hapa.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top