Watu 2 wafariki wakibatizwa katika ziwa Victoria

Watu wawili wamefariki dunia baada ya kuzama ndani ya ziwa Victoria walipokuwa wanabatizwa na mchungaji Nehemia Upendo wa kanisa la POOL of SILOAM.

Wakati wakiendelea na ubatizo wimbi likawapiga na kusababisha watu wawili kupoteza maisha.
 
Tutazidi kuwajulisha kwa kadri tunavyozipata habari zetu.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top