Msanii kutoka Nchini Marekani T.I akitoa burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar Katika Show ya FIesta iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Leaders.
Msanii Davido kutoka nchini Nigeria Akiwajibika
Diamond Platnumz akitoa burudani
Vanessa Mdee
Dimpoz kwa pozi
Ommy Dimpoz
Mashabiki
Banana
Young Killa
Waje kutoka NIgeria
Mashabiki wakishangweka
Victoria Kimani akiwajibika
Rachel Kazini
Rachel na wakata mauno wake.
Barnaba
Shaa na steji shoo wake wakiwajibika
Shaa akikata mauno
Wasanii wa ya Moto Band wakifana yao.
Rapper Nay wa Mitego akilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta.
Mkali kutoka Morogoro Stamina akitoa burudani.
Msanii kutoka Nigeria, David Adedeji Adeleke 'Davido' akamua kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar.
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumzakifanya makamuzi na Davido (kulia).
Rapa kutoka nchini Marekani, Clifford Harris,'T.I' akitoa burudani kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar
Staa wa Bongo Fleva Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya Leaders Club.
Post a Comment