Anaomba ushauri wenu wadau....Embu soma kwanza hii



Mwenzenu nina tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa nikimaliza tendo nalia sana, sijajua ni kwanini haswa.

Yaani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.

Tatizo hili lilinianza toka nilipo bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo mpenzi wangu, embu naombeni ushauri nifanyeje ili nisilie? maana sometimes boyfriend wangu anaweza akawa anakwazika bila mimi kujua. Na je does it exist to another woman? or ni mimi tu?

Ushauri jamani

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top