Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, almaarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza Jumamosi Februari 28, 2-015.
Kiapo hicho kinafuatia kukamilika kwa mafunzo ya kiulinzi na usalama kwa vijana hao, ambapo nchi inaelekea kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu 2015.
Kiapo hicho kinafuatia kukamilika kwa mafunzo ya kiulinzi na usalama kwa vijana hao, ambapo nchi inaelekea kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu 2015.
Vijana hao wakila kiapo mbele ya mwenyekiti wa cha hicho, Mwshimiwa Mbowe.
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), kisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigedi' mbele ya mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe.
Vijana hao wakitoa heshima mbele ya Mwenyekiti wao Mbowe.
Post a Comment