Ukiachika kama siyo Malaya utakuwa Malaya Au zaidi ya Malaya!

Tumekushauri kuvumilia umekataa katakata 'siwezi kuishi na huyu mwanaume, ni malaya sana, ataniua bure na maradhi'. Umeamua mwenyewe kuachika, tena kwa maneno ya kejeli eti najimudi kiuchumi so maisha yataenda tu bila huyu mume.
Haya! ndugu zako tumeamua kukuacha uishi utakavyo mwenyewe na maisha yako. Cha ajabu hata miezi sita haijafika na wewe unakazi ya kuki-tombe....tu!! tulidhani wewe utaendelea kutulizana, mbona sasa na wewe unakazi ya kuwapanga tu!! Bora hata ungekuwa na mmoja tungedhani pengine ndo unategemea awe hubby mpya, sasa huo msululu ndugu yangu, si unatutia aibu hata sisi ndugu zako!? Halafu sasa tukutofautisheje na ulichokimbia kwa mumeo?

My general rule: ukiachika kama hukuwa malaya basi utaanza kuwa malaya, na kama ulikuwa malaya basi ndo utakuwa malaya zaidi.

Msinitusi tafadhali, ni kauzoefu wangu katika kuishi na kuona na ku-experience mengi ya mahusiano.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top