Wanaume tunarogwa na kulishwa vitu vya ajabu na hawa wanawake zetu

Katika uchunguzi uliofanyika hivi karibuni imegundulika kuwa wateja wengi wa waganga wa Kienyeji ni wanawake ,hii inatoka na kuwa ushindani wa nafasi umekuwa mkubwa sana matokeo yake wakina dada na wakina mama wameamua kutafuta plan nyingine nayo si nyingine ni kutuchawia, tunarogwa sana,  tunalishwa vitu vya ajabu.
 Wateja wakubwa wa waganga ni hawa wanawake unadhani wanafuata nini huko kwa Waganga?

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top