Mimi
ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto
wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati
tukiwa wachumba) na kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba
watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah,
allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa
amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia
nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo
ya sawa sawa.
Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da,
baba watoto kwa kweli anaendesha gari lake chini ya kiwango
kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mimi ni mwanamke
huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima
niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa
nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno
haya:
- Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so
akitoka kazini huenda anamalizia huko huko ndipo akirudi nyumbani
anakuwa hoi
- Labda umbile langu limemchosha, coz kabla
hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini
sasa sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka
mara-dufu, so huwa hafikii pale "kichakani" kisawasawa kama tunado ile
style ya chuma mboga.
Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo
moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje
kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Chamanzi, basi watafika hadi
Dar......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6
hivi, kama hatobadilika, basi nitafanya kile anbacho moyo unapenda namba
(1) ya hapo juu....
Post a Comment