Wadada wafumwa wakijiuza kwa bei rahisi kabisa ili kukudhi maisha yao..Bila hata kujalikuwa kunamagonjwa mengi sasa hivi..Katika tukio hili ambalo mzee mmoja hupangisha vyumba vyake kwa makahaba hao na kufanya nao bishara hiyo ambapo kila kahaba anachumba chake na kujilia uroda na wanaume kadhaa ambao atawapata kulingana na siku husika na kisha wanamlipa mmiliki wa vyumba na kujirudia makwao
Post a Comment