Habari zilizoufikia hivi punde kutoka mkoani Simiyu ni kwamba watu zaidi ya 32 wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa baada ya basi la Luhuye walilokuwa wanasafiria kutoka Musoma kwenda Mwanza kugonga nyumba na kupinduka wilayani Busega mkoani Simiyu.
Inaelezwa kuwa majeruhi hawana msaada kwani ajali hiyo imetokea eneo la kijijini.
Inaelezwa kuwa majeruhi hawana msaada kwani ajali hiyo imetokea eneo la kijijini.
Habari Kamili kuhusu tukio hili la kusikitisha zitakujia hivi punde endelea kuwa nasi hapa www.paparwziwetu.blogspot.com/
Post a Comment