Jifunze mambo haya muhimu ukiwa na mpenzi wako kitandani ili msichoshane hasa kwa kipindi mkisha fanya mapenzi..
>>Mawazo yenuyanapaswa kuwa sawa
Namaanisha kila mmoja wenu akiwa na mawazo kwa mpenziwe basi itakuwa ni nafasi nzuri ya kumsoma mwenzi wako anataka nini kwa wakti huo..Nakutokana na umuhimu huu basi epuka kuweka mawazo yako nje ya hapo lasivyo utamboa mpenzi wako na kusababisha kuchokana haraka.

>>Piga stori nzuri zinazo husiana na mapenzi
Hii itasaidia kujiweka sawa na kumsha hisia za mpenzi wako na kujua sasa tunaelekea kufanya tendo husika na hivyo kutaafanya wote wawili kuwa tayari na kufurahia tendo na hilo ndilo lengo kubwa kwa wapenzi wawapo chumbani.
>>Epuka kuomba kufanya mapenzi
Wengi wetu hasa wanaume huwa wanakumbwa na shida moja wawapochumbani ambayo mwisho wa siku inasababisha malengo yao yasitimie na hii ni kwasababu wanamwomba mwanamke wafanye mapenzi wakati huo mwanamke huyo alisha toka home kwake na kuja hadi hapo chumbani kwako na kukaa na wewe akimahanisha yu tayari..Sasa unavyomuomba hawezi kukubali na ndipo atatoa sababu kadha na mwishoe unashindwa kufanya mapenzi na yeye kuondoka akiwa anatamani hicho kitu
>>Mvue mpenzi wako nguo
Hapa namaanisha usimwache mpenzi wako ajivue nguo mwenyewe ni vyema ukamvua nguo na wakati huo mkiwa mnashikana kwa mahaba maana hii itasaidia kuhamsha mawashiwashi ya mahaba katika miili yenu na hivyo kufurahia tendo kwani wote mtakuwa mmejiandaa vyakutosha
>>Muulize mpenzi wako kama ameridhika
Nivyema ukajua kama ,mpenzi wako ametosheka au laa hasa kwa wanawake maana mwanaume huwa kufikia mshindo wake kabla ya mwanamke sasa usikurupuke tu kwakuwa wewe umeridhika ni vyema ukajua na kwa mwenza wako kama nae ameridhika au laa ili na yeye afurahie mapenzi

Post a Comment