Mwanamke wa miaka 33 ajinyonga mpaka kufa baada ya kugombana na mpenzi wake hadharani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi baada ya kumfumania na mpenzi wake na mwanamke mwingine ambaye inasemekana kuwa alikuwa ni mwanmke wake wa zamani na baada ya ugomvi huo ambao haukuisha vzuri ndo ulipelekea mwanamke huyo ambaye jina lake halikufahamika kwa haraka kurudi nyumbani kwake na kwa hasira akajinyonga kwa kamba mpaka kufa.
Post a Comment