Natamani Nijitanue Mdomo Nicheke Kidgo Hhhh Hii Picha Sijui Nimenuna au Nawaza. Lakini Muhimu Pokea Hilo Ninalokupa Nakuhusia Sana, Usihuzunishwe na Hali ya Maisha Yako..Tazama na Jifunze kwa Viumbe Wengine,Tambua Siku Zote Ng'ombe wa Mbele Ndiye Anayechelewesha Msafara, lakini wa Nyuma Ndiye Anayechapwa Bakora, Jiamini, Usikate Tamaa, Mpite wa Mbele Ujinusuru na Bakora.MUNGU Hamtupi mja Wake, Pengine kesho ni Zamu yako. JITUME Mungu yu Pamoja Nawe.
Siku Njema!. Wastara on Instagram
Post a Comment