Wananchi wakilitazama Mv. Kigamboni baada ya kupoteza mwelekeo na kushindwa kushusha abiria na magari baada ya kutaka kushusha Abiria na magari upande wa Kigamboni.
Baada ya kupakia Abiria na magari upande wa kigamboni likiwemo gari maalumu la kubebea wagonjwa lilifanikiwa kutoka upande wa kigamboni na lilipofika jirani na gati upande wa Magogoni lilipoteza mwelekeo kwa dakika kadhaa hatimaye kushusha upande wa magogoni. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Post a Comment