Haya ndiyo mambo wanayoyafanya wanawake wa mjini ilikujipatia kipato kutoka kwa wanaume ambao bado awajatambua mbinu zao au atakwa wale ambao wanajua ila tu kwaajili ya kukidhi aja zao wanafumba macho..Pesa ndo kila kitu kwa mwanamke yeyote wa town amini usiamin huo ndo ukweli....Bila Pesa Mjini hapa wewe Mwanaume si Kitu...Ukibahatika Kusoma Meseji kwenye Inbox ya simu ya kaka wa mjini Inbox nzima imejaa meseji za mizinga kutoka kwa wadada wa mjini...Uongo Kweli ? Mjibu unayo wewe mwenyewe..
Post a Comment