Tuzo ya BEST LIVE MTV Awards yachukuliwa na Diamiond Toka Tanzania....
Mambo yameanza Vizuri Huko South Africa Kwenye Tuzo za MTV Base...Tuzo ya BEST LIVE MTV Awards Yachukuliwa na Diamiond Toka Tanzania.... Jambo la kujiuliza ni kwamba mwanamuziki bora wa afrika c mwanamuziki bora wa Tanzania hii atacjaielewa...
Post a Comment