Picha za ajali mbaya ya basi na Toyota avensus Mkoani Iringa...






Basi la Hai express lenye namba T437 CYC limegongwa kwa nyuma na gari dogo Toyota avensus, eneo la kipengele nje kidogo ya mji wa iringa eneo la mizani. Dereva wa gari dogo amekimbia hakuna aliyekufa ni majeruhi tu

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top