David Moyes atangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa Sunderland

Kocha wa zamani wa Everton na Man United, David Moyes ametangazwa kuwa mrithi wa Sam Allardyce, David Moyes ambaye ana umri wa miaka 53 amesaini mkataba wa miaka minne wa kuitumikia Sunderland.
Sam Allardyce maarufu kama Big Sam ambaye ametangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa England.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top