Angalia video ya kijana aliyepoteza maisha katika mchezo huu wa carboni pepa na wengine kujeruhiwa vibaya

Tukio hili limetokea katika kijiji cha Semingkir wilayani Randudongkal baada ya Vijana waliokuwa wakicheza na bunda la carboni kulipuka baada ya kuliwasha moto.

Katika tukio hilo kijana Ahmad alipoteza maisha na rafiki yake mwingine ambaye alikuwa hoi taabani huku mguu wake mmoja ukiwa umeharibika vibaya sana na wengine ambao walika ambali na mlipuko huo waligeruhiwa kidogo.
           Baadhi ya vijana wakikimbia baada ya mlipuko huo kutokea.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wanadai kuwa Ahmad ndiye aliyeenda kuwasha moto katika carbon hizo akisindikizwa na rafiki yake na vijana wengine wao walikimbia na ndipo mlipuko ulipotokea na Ahmad kupoteza maisha papo hapo na rafiki yake ambae alibaki nyuma kidogo kujeruhiwa vibaya na kupoteza Mguu wake.

 
ANGALIA VIDEO YA TUKIO HILI LA KUSIKITISHA.


TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top