Baada ya kudaiwa kuwa Wema na Diamond wagombana, Wema apost ujumbe huu.......Soma hapa

Baada ya kudaiwa kuwa wamegombana Wema ameposti ujumbe huu kuashiria hawajaachana na Diamond.
Wema ameamua kujibu mapigo hayo baada ya kuachia picha ya mpenzi wake huyo akiwa kitandani na alama ya kiss shavuni na kufuatia na ujumbe huu mzito ” Da love of my life…. Dats wat he is…. Our life, our rules…. Sipendi watu wanavyoingilia my love life kabisa…. I am his nd he is mine… dats jus it…. Kama ni mshenzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo tayari wangu…. Love him jus like dat…. Mapenzi huwa hayaingiliwi hata siku moja…. Nd dey say wapenzi wakigombana chukua jembe ukalime, hawakukosea at all… With all due respect stop ”


TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!! 

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top