Jana mapema asubuhi watu wanaosadikika kuwa ni wauza unga walimuua kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Adriano Silva mwenye umri wa miaka 22 kwa kumpiga risasi tano mwilini mwake.
Mashuhuda watukio hilo wanadai kuwa watu hao walio kuwa na silaha walianza kumfyatulia kijana huyo risasi baada ya watu hao kupishana kauli na kijana huyo aliyekuwa akitembea katika mitaa ya Panama huko nchini Mexico.
Kwa mujibu wa jeshi la polisi baada ya kufanya uchunguzi wa awali wamebaini kuwa kijana huyo alikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanajishughulisha na biashara hiyo haramu ya kuuza unga.
TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!!
Post a Comment