BREAKINGNEWS!!!!AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI,VYTUO NA SEKONDARI MWAKA 2013/14

A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI INATANGAZA ORODHA YA WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU KAMA IFUATAVYO:-

i. Walimu wa Cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 17,928
ii. Walimu wa Stashahada kwa ajili ya shule za sekondari 5,416
iii. Walimu wa Shahada kwa ajili ya shule za sekondari 12,677

Walimu hawa wamepangwa katika Halmashauri na shule za mazoezi za vyuo vya ualimu Tanzania Bara.

B: Kila Mwalimu (ajira mpya) atatakiwa kuzingatia yafuatayo:-

Kuripoti tarehe 01/04/2014 kwenye ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri kwa ajili ya kupangiwa vituo vya kazi na kuanza kazi.

Mwalimu atatakiwa kuwa na vyeti vyake halisi vya chuo na Sekondari
Walimu ambao ni waajiriwa wa Serikali waliokuwa wanajiendeleza kielimu wanatakiwa kurudi kwa waajiri wao ili kuendelea na kazi

Fedha za kujikimu za siku saba (7) na nauli kwa walimu wapya zimetumwa katika Halmashauri walikopangwa walimu. Hivyo, kila mmoja aripoti katika Halmashauri aliyopangwa

Mwalimu ambaye hataripoti ifikapo tarehe 10/04/2014 hatapokelewa tena na atakuwa amepoteza ajira yake. 


AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top