Picha hizi zinatisha.... Auawa akitoka kunywa pombe..

Siku ya jumamosi, Machi 15 polisi katika jimbo la Caruaru walipewa taarifa ya mtu alijulika kwa majina Helenus Araujo mwenye umri wa miaka 47 kuwa alikuwa  amepoteza fahamu kwa kuchomwa kisu shingoni na watu ambao hawakufahamika.

Kwa mujibu wa taarifa za polisi walipofika eneo la tukio walimkuta mzee Araujo amesha kufa kutoka na jeraha alilolipa baada ya kuchomwa kisu.

Familia ya mzee huyo walipohojiwa na polisi walisema kuwa ni kawaida ya mzee huyo kwenda kunywa pombe kila ifikapo jioni na kurudi nyumbani usiku.

Vilevile waliongezea kuwa alipokuwa anaondoka aliongozana na rafiki yake kwenda kunywa hivyo wanaamini kuwa atakuwa ndiye aliyemtendea unyama huo ndugu yao.


Polisi wanaendelea na upelelezi wa kumsaka rafiki wa marehemu ambaye mpaka sasa haijafahamika mpaka sasa yuko wapi baada ya kutokea tukio hilo.
 Marehemu Araujo na pembeni yake ni chupa ya pombe.

kisu ambacho kinasemekana ndo kilicho tumika katika mauaji hayo.
PICHA ZAIDI KATIKA TUKIO HILO.



Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top