Diamond aendaelea kushika 1 Trace Tv wiki ya pili Sasa.

Diamond kapewa shavu na mshkaji wake wa karibu Shetta kwenye Instagram yake kwa kuweka hii post ya video ya Diamond Ft Davido - My Number 1 Remix ikiwa namba moja kwenye Chati ya Video Bora za Africa ikiwa ni wiki ya 2 sasa. #Honngera. 
Ujumbe wa Shetta
“Kwa wiki ya pili sasa Tanzania inashika nafasi ya kwanza Katika kituo cha Trace Tv Ufaransa kwenye chart ya Nyimbo kumi Bora za Africa…. naamini tukiweza kuongeza juhudi na kushirikiana basi mziki wetu utafika zaidi kwenye kilele….
Trust me we can do that #angaliambeleeee “


TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!! 

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top