Lulu Michael akubali kupiga picha za nusu utupu kwa ajili ya kupamba......Soma zaidi hapa

Baada ya Jokate Mwengelo , Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Mr.Blue kutokea kwenye ukurasa wa mbele wa vibe tz magazine, Lulu Michael naye amekubali kuchukuliwa akiwa nusu uchi kwa ajili ya kuupamba ukurasa wa mbele wa gazeti hilo ambapo ndani ya gazeti hilo, Msanii huyu amefunguka mambo mengi kuhusiana na maisha yake binafsi....

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top