Picha si nzuri!!!! Kijana auawa na kutupwa shambani......Soma zaidi hapa

www.paparaziwetu.blogspot.com
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida siku ya Jumatatu,Marchi 10 mwili wa kijana mmoja ambaye jina lake alikuweza kufahamika mara moja ulikutwa  shambani   katika kijiji cha Maceio huko nchini Brazil. Mwili huo ambao tayari ulikuwa umeharibika na kubaki skeletoni(mifupa) ulikutwa na kipande cha kisu kwenye mbavu pamoja na majeraha ya risasi yaliyo onekana katika mifupa ya mwili huo na hivyo kuonyesha wazi kuwa aliuawa.

Kutokana na upelelezi wa jeshi la polisi ambao walikuta makasha 38 ya risasi katika shamba hilo pamoja na mshikio wa kisu pembeni ya maiti hiyo na hivyo kuonyesha kuwa muuaji alitumia kisu kumshambulia marehemu huyo ndipo kikavunjikia kwenye mbavu.

Polisi mpaka sasa haijaweza kumtambua marehemu huyo wala watuhumiwa wa tukio hili na hivyo wanaendelea na upelelezi. Kama kutakuwa na taarifa yoyote mpya juu ya tukio hili basi usikose kutembelea, www.paparaziwetu.blogspot.com tutakuhabarisha.
www.paparaziwetu.blogspot.com
Mwili wa marehemu huyo ukiwa umeharibika vibaya sana shambani hapo
www.paparaziwetu.blogspot.com
kisu kikiwa katikati ya mbavu za marehemu.



TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!! 

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top