Picha zinatisha,..Akanyagwa na gari kichwani na kufa papo hapo.....Soma zaidi hapa

Tukio hili la kusikitisha limetokea mnamo marchi 12, saa 5:30 asubuhi baada ya mstaafu, Alves Carvalho mwenye umri wa miaka 71 kupoteza maisha baada ya kugongwa na gari wilayani Petropolis.

Mzee huyo ambae alikuwa akitokea nyumbani kwake na usafiri wake wa pikipiki kuelekea sehemu yake ya biashara ya vitafunwa, Katika hosteli za chuo cha CMN. Akiwa njiani kuelekea kwenye biashara yake hiyo ndipo alipokumbwa na na mkasa huo wa kugongwa na gari ambalo lilimpitia kichwani wake na hivyo kumsababishia umahuti papo hapo.

Kwa mujibu wa inspecta Augusto, wakitengo maalumu cha matukio ya jinai alisema mwathirika mzee Alves aligongwa na gari ambayo aikujulikana na hivyo upelelezi dhidi ya tukio hilo unaendelea na taarifa rasmi zitatolewa tu punde wausika watakapo kamatwa.
Mwili wa marehemu Mzee Alves ukiingizwa katika gari la watu wa huduma ya kwanza.
Maafisa upelelezi na watu wahuduma ya kwanza wakiwa katika eneo la tukio.
Sehemu ya kichwa cha marehemu mzee Alves iliyoharibiwa vibaya katika tukio hilo.
Helmenti aliyokuwa amevaa marehemu mzee Alves baada ya kupasuka.
Mwili wa marehemu mzee Alves ukiwa chini huku ubongo ukiwa umetoka nje.
Pikipiki aliyokuwa anatumia marehemu ikiwa chini na vitafunwa vikiwa vimemwagika 


TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!! 

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top