Trafiki agongwa na gari mkoani morogoro.......Soma hapa

 Askari wa  kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro analijulina Bw Crispan 'vilevile anajulikana kama Mandela' amegongwa na gari eneo la Mtawala barabara inayotoka Msavumu  kuingia katikati ya Mji wa Morogoro.Hii ni mara ya pili kwa askari huyo kugongwa na gari mkoani hapa.
Tukio hilo lilitokea jana wakati Askari huyo alipokuwa eneo la kituo cha kushusha abiria kwenye Shule ya msingi ya Mtawala mkoani hapa
Kwa sasa Afande huyo ambaye hii ni mara ya pili kugongwa na gari akiwa kazi imelazwa wodi namba moja hospiatal ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro.
 
Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi..

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top