Watu 10 wapoteza maisha katika ajali ya gari.......Soma zaidi hapa


Watu 10 jana walipoteza maisha katika ajali ya gari ambayo ilitokea KM65, Benin. Ajali hiyo ambayo ilitokea baada ya Lori la mizigo lenye namba ya usajili LSR 649 XK kugongana na Toyota Hiace ya kampuni ya usafirishaji ya "MUNGU NI MWEMA" yenye namba ya usajili WWR 625 XA.
Ajali kati ya Toyota Hiace na lori
Miongoni wa watu waliopoteza maisha katika ajali hiyo ni  Jane na Oyemwen Igbinoba ambao walikuwa katika maandalizi ya harusi yao iliyokuwa ifanyike mwezi ujao na majeruhi walifikishwa katika hospitali ya Shilo.
Roho za marehemu wote zipumzike kwa amani!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top