Baba wa Diamond platnum aongea haya kuhusu mwanae.....

BABA wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Jumaa amefunguka kuwa mwanaye huyo siyo riziki yake kwani hana dalili zozote za kumjali kama mzazi.
Akistorisha na gazeti hili, mzee huyo alisema kwa sasa hataki kumzungumzia kabisa Diamond kwa sababu alishamtumia ujumbe kwamba anatakiwa kubaki kama baba tu na si vinginevyo.
'Mshua' Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Jumaa.“Sitaki kumzungumzia Diamond kabisa kwa sababu nitaonekana najipendekeza kwake kwa sababu ameshasema nibaki kama baba tu, naona siyo riziki yangu,” alisema baba Diamond.
Alipoulizwa Diamond kuhusiana na maelewano hafifu na baba yake, alijibu: “no comment.”

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top