Dereva wa bajaj auawa na mwili kutupwa Kilongawina, Africana- Mbezi....

 Mwili wa Erick 'Ras Kiduku' kama ulivyokutwa eneo la tukio.
Ufunguo wa Bajaj aliyokuwa akiendesha marehemu.

Mwili wa kijana ambaye ni dereva wa Bajaj aliyejulikana kwa jina la Erick maarufu kwa jina la Ras Kiduku umekutwa ukiwa umetupwa eneo la Kilongawima, Africana-Mbezi jijini Dar es Salaam.
Pembeni ya mwili huo, ulikutwa ufunguo wa Bajaj yake ambayo ilikutwa imetelekezwa barabarani jirani na mwili wa marehemu ulipokutwa.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top