Basi la WIBONELA EXPRESS lapinduka mkoani Singida..........

Kwa mujibu wa taarifa zilizoifikia BLOG HII ni kwamba basi la abiria la WIBONELA EXPRESS lililokuwa linatoka jijini Dar es salaam kwenda wilayani Kahama mkoani Shinyanga limepinduka jioni ya jana  huko Mkoani Singida.

Taarifa zinasema hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa vibaya katika ajali hiyo.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top