BREAKING NEWS..... Ajali mbaya yatokea korogwe... Angalia picha za tukio hilo

Ajali imetokea muda si mrefu eneo la Mtonga Korogwe.
Katika ajali hiyo mtu mmoja amejeruhiwa na wengine wapo salama.
Tuwahurumie walio pata changamoto hii, tusiwaongezee majonzi kwa kuwaibia cement yao!




Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top