BREAKING NEWS......Ajali mbaya yatokea Musoma watu zaidi ya 30 wahofiwa kupoteza maisha

Mabasi hayo yakiwa yamegongana 

Basi la Jumanne lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza coach lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Musoma na kuua watu zaidi ya 30 na majeuhi wengi. Ajali imetokea katika eneo la daraja la sabasaba, Musoma. 



Picha zaidi katika ajali mbaya iliyotokea Musoma
 Miili ya Abiria waliokufa ikiwekwa vizuri ili kutambuliwa
Mahututi wakikimbizwa wodini


wanainchi wakiwa kwenye simanzi

Taarifa kamili inakujia punde kaa nasi.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top