Matukio.. Bungeni Dodoma leo

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ally Kessy(kulia) na Mohammed Raza (kushoto) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha arobaini cha Bunge hilo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wakielekea kuhudhuria kikao cha arobaini cha Bunge hilo.
 Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Kessy akiwa bungeni.

Bunge Maalum la Katiba limechafuka wakati wa Majadiliano ya Taarifa za Kamati baada ya Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Kessy kusema Serikali ya Zanzibar inatumia fedha za Tanzania Bara kuendesha mambo yake ikiwemo kulipwa mishahara.
Wajumbe kutoka Zanzibar wamemshambulia kwa maneno makali wakidai kawavunjia heshima hali iliyopelekea Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta kuingilia kati katuliza mzozo huo.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top