Mrisho Ngasa aongeza jiko la pili...Habari kamili hii hapa

Mrisho Ngassa na mkewe Ladhia Mngazija wakiwa na nyuso za tabasamu baada ya kufunga ndoa leo. 

Mshambuliaji wa Taifa Stars na Yanga SC, Mrisho Ngassa leo amefunga ndoa ya pili na Ladhia Mngazija eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam. 
Wawili hao wakiwa wamekumbatiana baada ya harusi.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top