Mahakama kuu yatengua hukumu dhidi ya Mbowe...

Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA Freeman Aikael Mbowe ameshinda rufaa aliyokata Mahakama Kuu dhidi ya hukumu iliyotolewa katika kesi aliyoshtakiwa kumshambulia msimamizi wa uchaguzi aliyekuwa akifanya udanganyifu katika fomu za matokeo ya uchaguzi 2010 huko Hai .

Awali Mbowe alihukumiwa faini ya Sh.1,000,000 au kifungo gerezani katika mazingira yanayoonyesha njama za kisiasa na kuzua taharuki kubwa kwa umma.Mbowe alilipa faini kisha akakata rufaa mahakama kuu.

Muda mfupi uliopita Mahakama kuu imetengua hukumu na imeamuru arudishiwe fine yake aliolipa.
Kesi hiyo ilikua inasimamiwa na Wakili msomi Peter Kibatala ambaye pia ni Mkurugenzi wa Katiba na Sheria wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.

Source: JR

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top