Mwandishi wa MWANANCHI Atimuliwa na CCM Kampeni za John Magufuli...Baada ya Kuripoti Zomea zomea ya Magufuli Mbeya

Mwandishi wa gazeti la MWANANCHI ndugu Peter Elias ametimuliwa kutoka msafara wa kampeni za mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Magufuli, imethibitishwa.

Mwandishi huyo ametimuliwa kwa kosa la kuripoti tukio la mgombea huyo kuzomewa na wafuasi wa Chadema jijini Mbeya hivi karibuni kinyume cha
makubaliano.

Mwandishi huyo aliripoti katika gazeti hilo kwa kichwa cha habari "Magufuli akabiliana na UKAWA Mbeya" na kuweka picha ya mgombea huyo akionyeshwa alama ya vidole viwili.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top