Shamsa Ford!! Nataka mabadiliko ya kweli, Sidanganyiki na kufuata fedha

Staa wa filamu ya Chausiku, Shamsa Ford amesema hatobadilisha msimamo wake wa kushabikia vyama vya upinzani kwa kulaghaiwa na wasanii wachache kwa maslahi yao binafsi .

Shamsa alisema hayupo tayari kufuata maamuzi ya watu wengine hata kwa lundo la fedha kwani kufanya hivyo ni kujidhalilisha .
“Mimi nitabaki huku kwa kuwa nahitaji mabadiliko,” kila siku wasanii tunalia tukidai tunaibiwa na hakuna utekelezaji na matokeo yake tunapewa ahadi zisizoisha.”

Aidha , Shamsa Fordaliwataka mashabiki kuwaona kama watu wakawaida kwani baada ya siasa maisha yataendelea kama zamani.
Chanzo: Lete Raha

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top