Breaking News: Kingunge Ngombale Mwiru Ajitoa CCM Rasmi ..

Mzee  Kingunge Ngombale Mwiru Ametangaza leo Mbele ya Waandishi wa Habari kuwa Amejitoa Rasmi CCM na Kwa Sasa Hata Jiunga na Chama Chochote Lakini Ataunga Mkono Mbio za Wanaotaka Mabadiliko.....

Kinginge Ametaja Sababu nyingi za Kujitoa CCM ikiwemo ya kukiuka katika wakati wa Mchakato wa kutafuta Mgombea Urais wa CCM kule Dodoma na CCM kutumia vijana kuwatukana Wazee....

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top