Hamisa Mobetto aonyesha picha za mwanaye baada ya kufikisha miezi 6

Mwanamitindo Hamisa Mobetto ambaye sasa ni mama, amepost picha za mtoto wake huyo wa kike aliyefikisha umri wa miezi 6.

Mobetto ambaye amezaa na Dj mkongwe nchini, Majay amepost picha za mtoto huyo Instagram na kuandika;
“Happy six month my little mermaid I love you Mwanangu #GodWin @Misfansy @Misfansy
#cutekidsclub”.
Kwenye picha nyingine ameandika; “Mapozi sasa bint Majey
@misfansy @misfansy My mermaid”.

Hivi karibuni mrembo huyo aliyewahi kushiriki miss Tanzania, alisema kuwa baadaa ya kujifungua sasa amerudi kwenye kazi yake ya mitindo na anaimudu vizuri bila kuathiri upande wowote. Alikuwa akikanusha ile kasumbumba kuwa mwanamke akizaa basi anakuwa mzee.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top