Abiria zaidi ya 50 wanusurika kufa wakivuka mto Embakwe

Abiria zaidi ya 50 wanusurika kufa baada ya gari walilokuwa wapeka kupasuka matairi ya nyuma wakiwa wanavuka mto Embatwe-Mangwe ambao umefurika maji kutoka na mvua zinazo endelea kunyesha.

"Basi hilo ambalo lilikuwa likivuka katika mto huo ambao ulikuwa umefurika maji(Mafuriko) lilipoteza muelekeo kitu ambacho kilisababisha matairi ya nyuma kugonga baadhi ya nguzo na hivyo kupasuka" alisema shuhuda wa tukio hilo.

Dereva wa basi hilo alipo hojiwa akutaka kusema chochote na kudai kuwa abiria wote walitoka wakiwa wazima hivyo mapaparazi wasiandike habari yoyote kuhusu tukio jilo kwani watawapotezea wateja wao.
Polisi katika ukanda huo(Zimbabwe) wametoa uwito kwa madereva kuto kuatarisha maisha yao na abiria kwa kupita njia ambazo si salama kwa kutaka kuwahi safiri yao.


TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!! 

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top