Msichana huyo baada ya kubakwa na kushindwa kutembea mwenyewe
Msichana mwenye umri wa miaka 13 abakwa na baba yake mwenye umri wa miaka 55 na kuaribiwa vibaya sehemu zake za siri mpaka kushindwa kutembea.
Akisimulia tukio hilo msichana huyo ambaye jina limeifadhiwa alisema baba yake alimfungia katika chumba chake na kufanya na mapenzi kwa mara kadhaa na kisha kumtishia kumua endapo angetoa siri hii.
Mama wa msichana huyo alisema kutoka na kufanyiwa kitendo hicho cha kinyama binti yake akuweza tena kutembea na mpaka sasa atumia baskeli ya walemavu.
Eunice, Mama wa binti huyo aliendelea kusema kuwa toka mtoto huyo afanyiwe kitendo hicho hawezi hata kujizuia kwa haja ndogo.
Nahivyo ametoa wito wa kukamatwa kwa mumewe ambaye amekimbia nyumbani baada ya tukia hilo.

TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!!
Post a Comment