Kijana Almir Jose Nunes mwenye Umri wa miaka 17 mkazi wa jiji la Altinho, mwili wake umekutwa katika barabara ya Sitio Massape ukiwa umeharibiwa vibaya na nyama ya upande mmoja wa uso wake ikiwa imetolewa na majeraha sehemu mbalimbali za mwili wake ambayo ilikuwa ndicho chanzo cha yeye kupoteza maisha yake.
kijana huyo ambae majirani na mashuhuda walidai kuwa alikuwa mwizi wa vifaa vya umeme, electronic na wanyama wa kufugwa, aliwahi kukamatwa zaidi ya mara 8 na kufikishwa kwenye vyombo vya dola lakini hakuonyesha mabadiliko yeyote.
baba wa marehemu Almir Jose Nunes
Sasa kifo chake kimezua maswali mengi kwa ndugu na jamaa zake kwamba ni watu wenye hasira kali ndiyo walio fanya hivyo au ni kauliwa na mnyama pori?
Angalia huo mshale pembeni mwa mkono huo pana electonic blub ambapo inasemekana inawezekana atakuwa aliiba vifaa vya umeme na kuuliwa na watu wenye hasira kali.
Almir Jose Nunes
TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!!
Post a Comment