Angalia picha za harusi ya Jude Okoye kaka wa P SQUARE

Baada ya kuwashuhudia wadogo zake wakifunga ndoa hatimaye Jude Okoye kaka wa Peter na Paul wa P Square amefunga ndoa na mchumbwa wake Ifeoma Umeokeke. 

Jude Okoye ameshiriki kwenye kazi nyingi za P Square hasa kwenye ku-direct video zao za mwanzao kabisa. Hivi sasa amemuoa Ifeoma ambaye alikuwa Miss Tourism 2012.

 

1 

2 
3 
4 
5 

 
6 
7 
8 
9

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top