Gari aina ya Noah likiwa ndani ya mto baada ya kukosea njia na kutumbukia mtoni. Daraja hili liliharibiwa vibaya na Roli tarehe 19/06/2014.
Daraja hili linalounganisha Ukonga (Banana)- Tabata Segerea- Kinyerezi na Mbezi.
Daraja hili linalounganisha Ukonga (Banana)- Tabata Segerea- Kinyerezi na Mbezi.
Gari hiyo baada ya kutumbukia mtoni kisa kikiwa mwendo kasi wa dereva.
Hii ndio speed inayoruhusiwa unapokaribia kwenye daraja hili.
Kinachosikitisha ni kuwa katika daraja hili liloharibika kuna kibao kinachoonesha kuwa barabara imefungwa na kuna kamba ya njano na nyekundu zikionesha kuwa hakuna njia lakini cha kushangaza dereva wa gari hilo aina ya Noah aliweza kukata kamba hizo na kutumbukia mtoni hii imetokana na mwendo kasi aliokuwa nao.
Post a Comment