HOT NEWS........Basi la HOOD lililokuwa likitokea Mbeya lapata Ajali asubuhi hii

Muda mchache baada ajali kutokea. 
Askari wa usalama wa barabarani wakiwa wamefika eneo la tukio  na baadhi ya Mashuhuda wakishuhudia ajali hiyo
Basi la Hood limepata ajali asubuhi hii likitoka Mbeya haijafahamika mara moja lilikuwa linaelekea wapi na haijafahamika kama kuna watu waliojeruhiwa,

Endelea kufutilia hapa kupata taarifa kamili hii ni taarifa ya awali TU.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top