Askari kanzu (kulia), akimpeleka kituo cha Polisi Kati, kijana aliyedhaniwa kumkwapua mtu aliyetoka benki ya NBC katika ya Jiji leo mpita njia fedha zilizotajwa kufikia sh. mil. 5, maeneo ya Mtaa wa Samora, Dar es Salaam akiwa na wenzake ambao walifanikiwa kukimbia na fedha hizo
Post a Comment