Lori la mafuta lapinduka eneo la Sao Hill mda huu, Wananchi wagombania kuchota mafuta

Lori la Mafuta likiwa limepinduka muda mchache uliopita katika eneo la msitu wa Sao Hill
Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakiwa wanakimbilia kuona ajali ya Lori hilo la mafuta
 Wananchi wakiwa wanakimbilia kuchota mafuta hayo yaliyo mwagika katika eneo hilo bila kijali hatari ya kulipuka kwa mafuta hayo.

 Jitihada za kuliondoa Lori la mizigo ambalo nalo limepata ajali eneo hilo zikiwa zinafanyika muda huu ili kupisha Magari mengine kuendelea na Safari.
 Askari wa usalama wa Barabarani wakiwa wamewasili katika eneo la Ajali ilipotokea
Ulinzi ukiwa umeimarishwa katika eneo hilo


Mpaka tunaondoka eneo la Tukio hakuna taarifa ya kujeruhiwa kwa mtu yoyote .. 
Endelea kuwa nasi hapa hapa kwa habari zaidi



Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top