Jokate awagumzo kwa wanaume baada ya kujitanga kuwa anatafuta mchumba

Baada ya hivi karibuni mwanamitindo Jokate Mwegelo kutangaza kutafuta mchumba, idadi kubwa ya wanaume wamekuwa wakihaha kusaka mawasiliano naye huku kila mmoja akijinadi kivyake.

Mara baada ya habari ya Jokate ya kutafuta mchumba kutoka kwenye magazeti wiki iliyopita, namba ya simu ya chumba chetu cha habari imekuwa bize kupokea simu za wanaume mbalimbali wakiomba kuunganishwa na mrembo huyo.
Hata hivyo, jitihada za kumuunganisha mmoja mmoja kwa mrembo huyo hazikufanyika ila kwa yoyote anayehisi ana vigezo na ana nia ya dhati ya kumuoa na si kumchezea afike katika ofisi zetu nasi tutamuelekeza njia sahihi ya kumpata.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top